Friday, December 4, 2020

TAMBWE: SIMBA WATAJUTA

Must Read

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

NA ZAITUNI KIBWANA,

YULE mshambuliaji ambaye mashabiki wengi wa Simba hawampendi kwa sasa, Amissi Tambwe, atakuwamo kwenye kikosi cha Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania dhidi ya Simba na tayari ametoa neno linaloashiria maumivu kwa Simba.

Tambwe mwenye rekodi ya pekee ya kuifunga timu hiyo aliyeichezea katika misimu tofauti, amesema kwenye mchezo wa kesho Uwanja wa Taifa, Simba wataendelea kumchukia na watajuta kwani atawala mapema tu.

Tambwe aliyetemwa na Simba mwaka juzi katika dirisha dogo la ligi hiyo kwa madai ya kushuka kiwango na aliyeibuka mfungaji bora katika misimu miwili wakiwa na Simba na Yanga, amewaondoa hofu mashabiki wa Yanga.

Alisema atahakikisha wanaibuka na ushindi bila kuwapo kwa mshambuliaji Donald Ngoma aliyedaiwa kuwa ni majeruhi.

“Hii ni mechi rahisi tu kwetu, nikiwakosa basi watakuwa na bahati sana, lakini nawaambia watajuta tu, maana nitawafunga, tuko vizuri sana pale mbele, kwa sasa Chirwa (Obrey) amenoga sana, hivyo watu wasiogope waje uwanjani kushuhudia,” alisema Tambwe.

Tambwe ameifunga Simba mara tatu katika michezo mitatu ya ligi aliyokutana na Simba na mara zote amefunga bao moja likiwemo bao lililowakera zaidi katika mzunguko wa kwanza msimu huu.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul 'Ben Pol' ameshukuru mashabiki kwa...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -