Tuesday, October 27, 2020

TAMBWE: UWANJA WA AMAAN MGUMU KWANGU

Must Read

Kocha apokea kipigo kwa shingo upande

 NA  VICTORIA GODFREY KOCHA wa timu ya Mwadui, Khalid Adam, amesema amesikitishwa na kipigo...

KMC kumaliza hasira kwa Gwambina

NA WINFRIDA MTOI BAADA ya kuchezea kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Yanga, kocha...

Tshishimbi atambulishwa kuvaa uzi wa AS Vita

NA MWENDISHI WETU KIUNGO wa zamani wa timu ya  Yanga, Papy Tshishimbi, ametambulishwa katika...

NA ZAINAB IDDY, ZANZIBAR

STRAIKA wa Yanga, Amissi Tambwe, amesema hana rekodi ya kufunga mabao katika Uwanja wa Amaan, visiwani hapa katika michuano ya Kombe la Mapinduzi.

Yanga imeondolewa katika hatua ya nusu fainali ya michuano hiyo, baada ya kufungwa na Simba kwa changamoto ya mikwaju ya penalti 4-2 kufuatia sare tasa mchezo uliochezwa Jumanne wiki hii usiku, Uwanja wa Amaan.

Akizungumza na BINGWA juzi, Tambwe alisema hana bahati na uwanja huo kwani umekuwa mgumu kwake kufunga mabao kama anavyotupia katika viwanja vinavyotumika Ligi Kuu Tanzania Bara.

Tambwe alisema anakuwa katika wakati mgumu wa kufunga mabao anapokuwa na timu yake visiwani hapa, kwani kwa miaka ya hivi karibuni imekuwa ikitolewa mapema kwenye michuano hiyo.

“Najua wengi wanaweza kujiuliza kwanini nafunga Tanzania Bara lakini nikija huku inakuwa ni kazi ngumu, kikubwa kutokuwa na bahati na uwanja huu,” alisema Tambwe.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Kocha apokea kipigo kwa shingo upande

 NA  VICTORIA GODFREY KOCHA wa timu ya Mwadui, Khalid Adam, amesema amesikitishwa na kipigo...

KMC kumaliza hasira kwa Gwambina

NA WINFRIDA MTOI BAADA ya kuchezea kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Yanga, kocha msaidizi wa timu ya Manispaa...

Tshishimbi atambulishwa kuvaa uzi wa AS Vita

NA MWENDISHI WETU KIUNGO wa zamani wa timu ya  Yanga, Papy Tshishimbi, ametambulishwa katika kikosi cha AS Vita ya...

Kaseja: Hatukuwa dhaifu kwa Yanga

NA ZAINAB IDDY NAHODHA wa timu ya Manispaa ya Kinondoni (KMC),  amesema  hawakuwa dhaifu mbele ya Yanga, licha ya...

Kaze amuibua Zahera, aionya Simba

NA ZAINAB IDDY KOCHA wa zamani wa timu ya Yanga, Mwinyi Zahera, amesema aina ya mpira unaocheza kwa sasa...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -