Friday, October 23, 2020

TAMTHILIA ZA KISWAHILI ZAPEWA NAFASI SZIFF 2019

Must Read

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian...

NA JEREMIA ERNEST


 

ZIMEBAKI siku tatu ili kuanza kwa mchakato wa msimu wa pili wa tuzo za tamasha la kimataifa la filamu Sinema Zetu International Film Festival (SZIFF2019), tamthilia za Kiswahili zimepewa nafasi.

Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi huo juzi jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa tamasha hilo, Jacob Joseph, alisema tamthilia za Kiswahili hivi sasa zimejizolea umaarufu mkubwa ndiyo maana SZIFF 2019 zimepewa nafasi.

“Kwa maoni ya wadau wa tamthilia za Kiswahili tumeona tuongeze vipengele ili kutanua wigo kwa wasanii wa Afrika pamoja na wadau wa sanaa, kipengele cha tamthilia kitakuwa na kazi tano zinazoonyeshwa Azam Tv.”

Aliongeza kuwa tamasha hilo mwaka huu litahusisha nchi zote za Afrika Mashariki kama vile Tanzania, Kenya, Uganda, Kongo, Burundi na Rwanda.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya kuwa na umri wa miaka...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian Mbappe na Neymar, kwenye mechi...

IBRA:Kifaa kipya Konde Gang aliyetembea kwa mguu kumwinda Harmonize

NA BRIGHITER MASAKI UKITAJA vijana wanaofanya vizuri katika mziki wa bongo fleva, huwezi kukosa kumtaja msanii chipukizi anayefahamika zaidi...

Jay-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas

-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas New York, Marekani HAKUNA shabiki wa Hip hop asiyelifahamu...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -