Sunday, November 29, 2020

Tekno amekufa ameoza kwa Genevieve Nnaji

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

LAGOS, Nigeria

AMA kweli mapenzi ni kikohozi hakiwezi kufichika.

Usemi huu unadhihirishwa na mwimbaji nchini Nigeria, Augustine Miles Kelechi, maarufu jukwaani kama Tekno Miles, baada ya kufunguka akielezea jinsi asivyoona wala kusikia dhidi ya mwigizaji, Genevieve Nnaji.

Staa huyo alifunguka mwishoni mwa wiki,  baada ya kutupia picha na ujumbe kwenye mtandao wake wa Instagram akielezea hisia zake hizo.

Katika picha hizo, ambazo zilimuonesha mwanamama huyo ziliambatana na ujumbe wa kusisitiza jinsi alivyokufa na kuoza juu ya staa huyo.

“Penzi langu kwake daima halitakufa,” ulieleza ujumbe ambao uliambatana na picha hizo.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -