Monday, November 30, 2020

TELELA AMNG’OA JINO MGHANA WA AZAM

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA WINFRIDA MTOI

KIUNGO wa Ndanda, Salum Telela, amemng’oa jino la juu beki wa Azam raia wa Ghana, Yakub Mohamed, katika purukushani za kuokoa hatari kwenye mchezo wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) dhidi ya timu hizo uliochezwa juzi kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam.

Katika mchezo huo, Azam waliibuka na ushindi wa mabao 3-1 na kufanikiwa kutinga nusu fainali ya kombe hilo.

Hata hivyo, Mohamed alijikuta aking’oka jina na kushindwa kuendelea na mchezo baada ya kugongana na Telela.

Akizungumza na BINGWA, daktari wa Azam, Mwanandi Mwankemwa, alisema mchezaji huyo aling’oka jino hilo na watampeleka hospitali kwa matibabu zaidi.

“Ni kweli Yakub jino lake la juu limetoka baada ya kugongana na mchezaji wa Ndanda, tunatarajia kumpeleka Hospitali ya Mwananyamala leo (jana) ili aweze kutibiwa na kuna uwezekano wa jino la pili kutolewa kwa sababu limeanza kutikisika,” alisema Mwankemwa.

Alisema mchezaji huyo atawekewa meno bandia baada ya matibabu na daktari wa meno ndiye atakayeshauri siku gani anaweza kurejea uwanjani.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -