LONDON, England
KUNA taarifa kuwa klabu za Ligi Kuu China ziko tayari kumwaga fedha kumsajili John Terry.
Imedai kuwa tayari Guangzhou Evergrande wameanza kuumiza vichwa kuangalia ni jinsi gani watamnasa mkongwe huyo.
© New Habari (2006) Ltd | All rights reserved.