Wednesday, October 21, 2020

TFF YAPIGWA ‘TWISHENI’

Must Read

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu...

NA OSCAR ASSENGA, TANGA

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limepigwa ‘twisheni’ ya kuangalia namna ya kusaka wafadhili watakaosaidia timu zinazoshiriki Ligi Kuu ya soka wanawake ambazo zinakabiliwa na ukata.

Akizungumza na BINGWA jana, kocha mkuu wa timu ya wanawake ya Fair Play Queen ya mkoani hapa, Kuha Iddi, alisema kumekuwa na ukata kwa baadhi ya timu zinavyoshiriki ligi hiyo.

Iddi alisema kukosekana kwa wadhamini katika ligi hiyo kumesababisha kukosa msisimko na ushindani.

Alisema suala la uwezeshwaji kwa timu zinazoshiriki ligi hiyo ni muhimu kwa lengo la kuinua kiwango cha soka hilo, lakini itachangia kuleta ushindani na hatimaye kupata bingwa bora.

Iddi alisema pamoja na kukabiliwa kwa ukata, timu hizo zinakabiliwa na uhaba wa vifaa kwa maandalizi ya mechi zao.

“Lakini pia timu yetu haina sapoti yoyote kutoka kwa wadau wa mkoani Tanga kwani haina ufadhili jambo ambalo limekuwa changamoto kubwa kwao kufikia malengo yao,” alisema Iddi.
Amewaomba wafadhili kujitokeza kwa wingi kudhamini ligi hiyo ambayo ni muhimu kwa soka la wanawake Tanzania.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya wanamuziki wa Tanzania ambao miongoni...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara  (VPL), utakaochezwa leo...

Mugalu atema cheche Simba

NA ASHA KIGUNDULA MSHAMBULIAJI wa Simba, Chris Mugalu, amesema wanakwenda mkoani Rukwa kupambana na kupata ushindi katika mchezo wao...

Malale aitisha Yanga

NA ZAINAB IDDY KOCHA Mkuu wa timu ya Polisi Tanzania, Malale Hamsini, amezisikia sifa za kocha mpya wa Yanga,...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -