Friday, November 27, 2020

‘TOP FIVE’ MASTAA WANAOLIPWA MISHAHARA MIKUBWA CHINA

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...
  1.  Ezequiel Lavezzi

Muargentina huyo anakunja dola milioni 16.8 kwa mwaka akiwa na kikosi chake cha Hebei China Fortune.

Nyopta huyo mwenye umri wa miaka 30, alitua klabuni hapo akitokea Paris Saint Germain (PSG) na ada ya uhamisho wake inatajwa kuwa ni pauni milioni 6.1 kwa kuwa alibakisha miezi kadhaa kabla ya kumaliza mkataba wake.

  1. Gervinho

Nyota huyo wa kimataifa wa Ivory Coats ni miongoni mwa wachezaji wanaovuna fedha nyingi ligi kuu nchini China.

Akiwa na umri wa miaka 28, ambaye alijiunga na Guangzhou Evergrande  akitokea Roma ya Seria A, anaweka mfukoni dola milioni 9.7 kwa mwaka.

Wakati alipoondoka Roma na kujiunga na Wachina hao, uhamisho wake uligharimu pauni milioni 20.

  1. Jackson Martinez 

Alipoondoka Atletico Madrid, saini yake ilikuwa ikiwindwa kila kona na klabu vigogo barani Ulaya. Alikataa na kuamua kujiunga na Ligi Kuu China.

Uhamisho wake uligharimu dola milioni 45.8 na sasa klabu yake ya Guangzhou Evergrande inamlipa mshahara mnono wa dola milioni 14.

  1. Paulinho 

Mbarazil huyo naye analipwa fedha nyingi katika klabu yake ya Jiangsu Suning. Ana umri wa miaka 27 lakini mshahara wake ni dola milioni 6.3 kwa mwaka.

Hata usajili wake ulikuwa wa fedha nyingi kwani Tottengham walilipwa dola milioni 15.7 ili kumruhusu kuondoka.

  1. Ramires

Nyota huyo raia wa Brazil ana umri wa miaka 28. na alipohama Chelsea na kutua Jiangsu Suning FC, uhamisho wake uligharimu dola milioni 36.7.

Mabosi wake wa sasa, Jiangsu, wanamwekea dola milioni 14.5 kwa mwaka ikiwa ndiyo mshahara wake.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -