Saturday, November 28, 2020

Toto kuitia gundu tena Simba?

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA SAADA SALIM,

SIMBA inashuka dimbani kwa mara nyingine dhidi ya Toto Africans kesho ambapo ni timu inayowasumbua Wekundu hao wa Msimbazi baada ya msimu uliopita kuambulia pointi moja katika Uwanja wa CCM Kirumba, mkoani Mwanza baada ya kutoka sare ya bao 1-1.

Msimu huu, Simba imeonyesha kiwango kizuri kwa kucheza kandanda safi na kuibuka na ushindi katika michezo yake 10 ambapo hakuna timu iliyofanikiwa kuwafunga na hadi sasa wanaongoza katika msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara wakiwa na pointi 26.

Kama ilivyokuwa kwa msimu uliopita ambapo mzunguko wa pili ilifanikiwa kufanya vizuri baadhi ya mechi, lakini mchezo wao na Toto, Simba ilikubali kichapo cha bao moja kutoka kwa Wazir Junior, mchezo uliopigwa Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.

Baada ya kupoteza mchezo huo, Simba ilijikuta ikiwa kama imetiwa gundu na vijana hao na Mwanza na kuendelea kuboronga kwenye mechi zao zilizofuata na hivyo kuondoka katika mbio za kuwania ubingwa, ikizikodolea macho Yanga na Azam zikijinafasi kileleni.

Kocha Mkuu wa Simba, Joseph Omog, ameonekana kupania kufanya vizuri katika mechi zao zote kwa kuzoa pointi zote tatu.

Msimu huu Simba iko vizuri hivyo ni wazi kesho itataka kuendeleza rekodi dhidi ya timu za Kanda ya Ziwa baada ya kuichapa Mbao bao 1-0 katikati ya wiki hii kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -