Friday, December 4, 2020

Toure akiri kufanya makosa ya kitoto

Must Read

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

GLASGOW, Scotland

BEKI mkongwe, Kolo Toure, usiku wa kuamkia jana alifanya makosa mawili ya kizembe yaliyosababisha timu yake ya Celtic ipoteze mchezo kwa kufungwa mabao 2-0 na klabu ya Borussia Monchengladbach katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya hatua ya makundi.

Toure aliyewahi kuichezea Liverpool, alikiri kuwa licha ya kuwa na umri wa miaka 35, lakini amekuwa akifanya makosa kama ya mtoto wa miaka 16 yanayopelekea kupoteza ndoto za timu yake kufanya vizuri kwenye michuano hiyo.

“Nina miaka 35 na ninafanya makosa kama nina miaka 16,” alisema Toure.

“Katika michuano kama hii ya Ulaya, huwezi kufanya makosa ya namna ile,” aliongeza.

“Nijilaumu mwenyewe kwa sababu lilikuwa ni tukio jepesi tu la kupiga pasi sahihi kwani napenda timu yangu icheze mpira, lakini nilijiamini sana kwa hilo bao la kwanza na la pili pia. Sipendi kufanya makosa lakini ndio yanatokea,” alisema.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul 'Ben Pol' ameshukuru mashabiki kwa...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -