Wednesday, November 25, 2020

Traore ahoji kupelekwa Ajax kwa mkopo

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

HAMSTERDAM,Uholanzi

STRAIKA kinda wa Chelsea, Bertrand Traore, amehoji uamuzi wa klabu yake kumpeleka kukipiga kwa mkopo  katika klabu ya Ajax  ya nchini Uholanzi.

Kwa mujibu wa gazeti la Evening Standard, Traore, ambaye msimu uliopita alifunga mabao manne katika mechi  16 alizocheza alikuwa anauhakikika msimu huu angweza kuwamo kwenye kikosi cha kwanza cha The Blues, baada ya kucheza mechi tano za majaribio kwa ajili ya msimu huu chini ya kocha wake mpya,  Antonio Conte.

Hata hivyo akajikuta Chelsea wakiingia makubaliano  na  Ajax akakipige kwa mkopo wa muda mrefu na kuifanya timu hiyo ibaki na mstraika wawili tegemeo Diego Costa na  Michy Batshuayi.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -