Wednesday, October 21, 2020

TUMBO LA AUNT EZEKIEL LAACHA MASWALI MAZITO

Must Read

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu...

TUMBO la msanii wa filamu za Bongo, Aunt Ezekiel, likimwonyesha kama mjamzito, limeacha maswali mazito kwa mashabiki wake huku wengi wakijiuliza ni kweli mjamzito au anaigiza.

Aunt ambaye amezaa na mpenzi wake ambaye ni dansa wa Naseeb Abdul ‘Diamond’, Moses Iyobo, mtoto wa kike anayejulikana kwa jina la Cookie La Princesa.

Tumbo hilo liliwachanganya mashabiki wake na kukosa ukweli wake baada ya Iyobo kuweka picha kwenye ukurasa wake wa Instagram ikimuonyesha Aunt  Ezekiel akiwa na tumbo kubwa  ambalo halikujulikana mara moja ni ujauzito au la.

Kwenye ukurasa huo, Iyobo aliandika: “Tukutane Desemba na mama murua.” Jambo lililoacha maswali mengi kwa mashabiki wake mbalimbali.

Maswali hayo yaliwaibua mashabiki wake ambao wengi waliandika: “Duu siamini labda ni ya zamani akiwa na ujauzito wa Cookie, ila nasikia Desemba  kuna sherehe ya Wasafi full Moon Party, hivyo Aunt hana mimba hapo,” aliandika Khamis Evocadia.

Shabiki mwingine aliandika: “Mwenzetu anasema bia ndio zimemfanyisha awe na kitambi, basi bia za ndugu yetu za aina yake aisee safi lakini hongera jipatie wanao, jizaliee mwaya sifa kuu ya mwanamkee watoto.

Licha ya maswali yote, Aunt Ezekiel na mpenzi wake huyo walishindwa kutoa majibu ya picha hiyo na kuacha maswali mengi kwa mashabiki.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya wanamuziki wa Tanzania ambao miongoni...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara  (VPL), utakaochezwa leo...

Mugalu atema cheche Simba

NA ASHA KIGUNDULA MSHAMBULIAJI wa Simba, Chris Mugalu, amesema wanakwenda mkoani Rukwa kupambana na kupata ushindi katika mchezo wao...

Malale aitisha Yanga

NA ZAINAB IDDY KOCHA Mkuu wa timu ya Polisi Tanzania, Malale Hamsini, amezisikia sifa za kocha mpya wa Yanga,...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -