Tuesday, October 20, 2020

Tupac aendelea kutesa mitandaoni, aibuka na Rihanna

Must Read

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu...

LOS ANGELES, Marekani

KIFO cha staa Tupac Shakur kimeendelea kuwagawa mashabiki wa burudani ulimwenguni kote, hasa baada ya picha ya juzikati kumuonesha akiwa na mrembo Rihanna.

Kwa wiki kadhaa, picha mbalimbali zimekuwa zikimuonesha msanii huyo aliyefariki mwaka 1996 na kuna wasiwasi kuwa huenda bado yuko hai.

Hivi karibuni kulikuwa na picha iliyomuonesha Tupac akiwa na mtoto wa marehemu Michael Jackson na sasa habari ya mjini kwenye mitando ya kijamii ni ile akiwa na Rihanna, ambaye anatoka kimapenzi na rapa Drake.

Hata hivyo, imeelezwa kuwa picha ya sasa ya Tupac na Rihanna imekuwa mitandaoni tangu mwaka 2012, ingawa kuna taarifa kuwa Tupac hakufa baada ya kupigwa risasi miaka 20 iliyopita.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya wanamuziki wa Tanzania ambao miongoni...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara  (VPL), utakaochezwa leo...

Mugalu atema cheche Simba

NA ASHA KIGUNDULA MSHAMBULIAJI wa Simba, Chris Mugalu, amesema wanakwenda mkoani Rukwa kupambana na kupata ushindi katika mchezo wao...

Malale aitisha Yanga

NA ZAINAB IDDY KOCHA Mkuu wa timu ya Polisi Tanzania, Malale Hamsini, amezisikia sifa za kocha mpya wa Yanga,...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -