Friday, October 30, 2020

TUZO YA RONALDO YAISABABISHIA MAJANGA MADRID

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

MADRID, Hispania


UKWELI ndio huu. Tangu Cristiano Ronaldo anyakue tuzo ya mchezaji bora wa mwaka ya Fifa wiki chache zilizopita, timu yake ya Real Madrid imeshindwa kupata ushindi kwenye mchezo wowote hadi sasa.

Miamba hao wa soka la Hispania waliongeza idadi ya mechi bila kupoteza hadi kufikia 40, baada ya kulazimisha sare ya mabao 3-3 dhidi ya Sevilla kwenye mchezo wa Copa del Rey, lakini walipocheza nao tena kwenye mchezo wa La Liga walijikuta wakibugizwa mabao 2-1.

Sare dhidi ya Sevilla kwenye Copa del Rey iliwafanikisha Madrid kutinga robo fainali ya michuano hiyo ambapo walipangiwa kucheza na Celta Vigo, lakini kwa mara nyingine tena walitandikwa mabao 2-1 kwenye robo fainali ya kwanza iliyopigwa kwenye dimba la Santiago Bernabeu.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -