Wednesday, October 28, 2020

UCHOVU WAMPUMZISHA WIZKID

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

LAGOS, Nigeria

STAA wa muziki  wa Pop, Wizkid, amesema kuwa maonesho yake aliyoyapanga kufanyika mwezi huu  na ujao hayatafanyika  kutokana na ushauri aliopewa na daktari wake.

Staa huyo alitoa taarifa hiyo mwishoni mwa wiki kupitia katika  mtandao wake wa kijamii wa  Twitter, akisema kuwa amechukua hatua hiyo kutokana na ushauri wa daktari wake.

Kupitia ujumbe huo, nyota huyo aliandika kwamba amekuwa akifanya ziara za kimuziki kwa zaidi ya miaka miwili bila kupumzika na hivyo ameshauriwa kufanya hivyo.

“Nimefanya ziara za kimuziki kwa muda wa miaka miwili bila kuwa na mapumziko na hivyo kwa kuheshimu ushauri wa madaktari natakiwa nimpumzike ili niweze kuwa fiti kwa ajili ya mwaka ujao,” alisema nyota huyo.

Hata hivyo, Wizkid aliwaomba radhi mashabiki, akisema kuwa kile alichowafanyia mashabiki kwa muda wa miaka miwili watakipata tena.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -