Tuesday, November 24, 2020

UGONJWA UNAOMSUMBUA MARIO GOTZE WAGUNDULIKA

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

MUNICH, Ujerumani

MAELEZO ya ugonjwa wa ajabu unaomsumbua kiungo mshambuliaji wa Borussia Dortmund, Mario Gotze na kumpunguzia uwezo wa kucheza soka katika wiki za hivi karibuni, yamewekwa wazi.

Siku chache baada ya klabu ya Dortmund kutangaza kwamba Gotze anasumbuliwa na tatizo la ‘kimetaboliki’, imefahamika kuwa, tatizo lenyewe ni misuli kupungua uwezo wa kufanya kazi kiufasaha na kupelekea maumivu ya mara kwa mara.

Kama ilivyoripotiwa na gazeti la Bild, hiyo ndiyo sababu rasmi iliyosababisha mshindi huyo wa Kombe la Dunia kushindwa kucheza, lakini taarifa nzuri zilizopo ni kwamba ugonjwa huo unatibika.

Gotze, mwenye umri wa miaka 24, hajacheza tangu Januari na ataendelea kuwa nje ya uwanja kwa muda usiojulikana, kwa mujibu wa klabu yake ambayo ilifuzu kucheza robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuiondoa mashindanoni Benfica ya Ureno wiki hii.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -