Thursday, October 29, 2020

Uhamiaji wawatisha wajeda wa JKU

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

NA WINFRIDA MTOI

TIMU  ya  Netiboli ya Uhamiaji  imewabeza   JKU ya Zanzibar kuwa ni vibonde wao na kwamba watawafunga kwenye mechi yao ufunguzi  ya michuano ya  Kombe la Muungano ambayo imepamgwa kutimua vumbi leo  jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na BINGWA jana, Kocha Mkuu wa Uhamiaji, Winfrida Emmanuel alisema anaamini kama walivyofanya mwaka jana ndivyo watakavyofanya mwaka huu kwa kuwafunga kwa mara nyingine wapinzani wao.

Alisema  wao kama mabingwa  wa watetezi wa michuano hiyo pamoja na ile ya Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara hawaioni timu  ya kuihofua kwenye michuano hiyo.

“Kama  tulivyo mabingwa wa michuano miwili tofauti, naamini tutaanza vizuri kwa kuwafunga JKU  kwa sababu mwaka jana tulikutana nao fainali na tuliwafunga magoli mengi hadi wakaleta fujo,” alisema Winfrida.

Alieleza kuwa kikosi chake hakina mabadiliko yoyote, wachezaji wake ni wale walitoka kutwaa ubingwa wa Ligi Daraja la Kwanza  na  wamepata muda mrefu wakufanya mazoezi na  kucheza mechi za kirafiki.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -