Wednesday, October 28, 2020

Ujeuri wamponza Pelle

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

TURIN, Italia

NYOTA wa timu ya Taifa ya Italia, Graziano Pelle, ametemwa kwenye kikosi cha timu hiyo kutokana na kitendo chake cha kukataa kumpa mkono kocha wake, Giampiero Ventura.

Tukio hilo lilitokea katika mtanange dhidi ya Hispania na sasa atakosa mchezo dhidi ya Macedonia.

Straika huyo wa Shandong Luneng ya Ligi Kuu China, alikuwa sehemu ya kikosi cha kwanza cha Hispania lakini alipoitwa benchi kumpisha Ciro Immobile alikasirika na hatimaye kugoma kupeana mkono na kocha wake huyo.

“Giampiero Ventura ameamua kumwacha Graziano Pelle katika kikosi dhidi ya Macedonia kutokana na tabia yake aliyoionesha alipotolewa nje dhidi ya Hispania,” ilisema sehemu ya taarifa iliyotolewa na chombo kimoja cha habari.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -