Friday, October 30, 2020

Ukiona wapendanao wanagombana, usithubutu kufanya hivi

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

ABADANI usijaribu kutoa maamuzi ya haraka ya kuwataka kuachana ukiona wapendanao wako katika uhasama. Hisia za mapenzi baina ya watu wawili wanaopendana huwezi kuzipima kwa haraka haraka.

Wengine wanapogombana sana wewe unadhani kuwa wamechokana kumbe wanapendana sana ndio maana jambo dogo linaleta shida kwao kwa sababu ya hisia kali za kiwivu baina yao.

Hata ukiona mmoja kamsaliti mwenzake na mwingine akagundua, usiwe kiherehere kutaka waachane. Wenyewe wakikaa watayamaliza na kisha utajiona huna nafasi tena.

Mdundo wa mapenzi hauchezwi na mtu mwingine ila wale tu walio katika mahusiano husika. Usione wanapigana hadharani ukadhani ndiyo tamati ya umoja wao wa kihisia. Wakiingia ndani watayamaliza kwa namna ambayo huwezi kuamini.

Mapenzi ni ya wawili. Mwingine ukitaka kuingia na kujifanya yanakuhusu sana kuliko wahusika wenyewe, kitakachotokea mbele yako unaweza kujiona umewahi kuwa mjinga sana.

Angalia Bill Clinton na mke wake Hilal. Kila kitu kilikuwa wazi juu ya mahusiano ya Clinton na yule mfanyakazi wa Ikulu Monica Lewinsky.
Ukimya wa Hilal mwanzo ukawapa watu tafsiri ya kuamini kuwa mwanamama alikuwa anapanga mikakati ya kumbwaga mheshimiwa. Ila nini kilitokea baadaye?

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -