Friday, October 30, 2020

Ulimboka ataka pointi tatu nyumbani

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

NAVICTORIA GODFREY

KOCHA timu ya  Pamba, Ulimboka Mwakingwe, amesema wamejipanga kuibuka na ushindi dhidi ya Singida United katika mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara, utakaochezwa Jumamosi kwenye Uwanja wa Nyamagana, jijini Mwanza.

Pamba  walianza  ligi hiyo kwa ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Arusha FC katika mchezo uliopita uliochezwa kwenye uwanja huo.

Akizungumza na BINGWA kwa simu kutoka mkoani Mwanza juzi, Mwakingwe alisema wataende;ea kupata ushindi dhidi ya Arusha FC.

Mwakingwe alisema malengo yao ni kuhakikisha wanarejea Ligi Kuu Tanzania Bara msimu ujao, baada ya kushuka daraja kutokana na kufanya vibaya.

“Pamoja na ushindi tulikuwa tumepanga tufunge mabao zaidi ya hayo tuliyopata , lakini tunamshukuru Mungu vijana wamefanya yale niliyowaelekeza na sasa tunahitaji  kutimiza  malengo yetu ya kuutumia uwanja wa nyumbani kupata matokeo,” alisema Mwakingwe.

Amewaomba mashabiki kujitokeza kwa wingi kuwasapoti kwa moyo  ili waweze kufanya vizuri na baadaye kutimiza malengo yao.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -