Wednesday, October 21, 2020

UMESIKIA RONALDO ALIVYODHALILISHWA NA DADA YAKE?

Must Read

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu...

LISBON, Ureno

NOMA kweli mshkaji wangu. Kama walivyo binadamu wengine, hata Cristiano Ronaldo, amewahi kukutana na vitendo vilivyomtia aibu. Ni kama wewe na mimi tu.

Nyota huyo wa Real Madrid aliwahi kujisikia vibaya baada ya kugundua kuwa dada yake alifanya mapenzi kwenye kitanda chake.

Taarifa hiyo imevujishwa na jamaa mmoja anayefahamika kwa jina la Claudio Coelho.

Kwa wasiomjua Coelho, mwamba huyo aliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na dada wa Ronaldo, Katia Aveiro, kwa takribani miezi sita.

Coelho aliyasema hayo wakati alipokuwa akihojiwa na kituo kimoja che televisheni cha Ureno, akidai kuwa alilala na Aveiro kwenye kitanda cha mwanasoka huyo ambaye hivi karibuni alinyakua tuzo ya Ballon d’Or.

Mshkaji huyo aliongeza kuwa Ronaldo alibaki na majonzi alipogundua kuwa wawili hao walijiachia kwenye kitanda chake.

“Katia na mimi tulikuwa tukitembelea eneo liitwalo Geres na tulikuwa tukitumia nyumba ya Ronaldo katika siku za wikiendi. Hapo ndipo tulipolala kwa siku ya kwanza,” alisema Coelho.

Hivi karibuni, Ronaldo aliendeleza utawala wake kwenye ulimwengu wa soka baada ya kushinda kwa mara ya nne tuzo ya Ballon d’Or.

Nahodha huyo wa timu ya Taifa ya Ureno, alifanya hivyo mbele ya hasimu wake mkubwa, Lionel Messi ambaye ameinyakua mara tano.

Shabiki mkubwa wa baba mzazi wa Ronaldo ni aliyekuwa Rais wa Marekani, Ronald Reagan, ambaye aliwahi kufukuzwa shule kwa kosa la kumtupia kiti mwalimu wake.

Mbali na soka na mishe nyingine, Ronaldo ni mfanyabiashara mkubwa na sasa anatamba na kampuni yake ya mavazi.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya wanamuziki wa Tanzania ambao miongoni...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara  (VPL), utakaochezwa leo...

Mugalu atema cheche Simba

NA ASHA KIGUNDULA MSHAMBULIAJI wa Simba, Chris Mugalu, amesema wanakwenda mkoani Rukwa kupambana na kupata ushindi katika mchezo wao...

Malale aitisha Yanga

NA ZAINAB IDDY KOCHA Mkuu wa timu ya Polisi Tanzania, Malale Hamsini, amezisikia sifa za kocha mpya wa Yanga,...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -