Tuesday, October 20, 2020

Umtiti afichukua kilichopandisha kiwango chake

Must Read

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu...

MADRID, Hispania

BEKI wa Barcelona, Samueli Umtiti, amefichua siri ya kupanda kwa kiwango chake, baada ya kusema kuwa ni kutokana na kufanya mazoezi na mastaa; Lionel Messi, Luis Suarez na Neymar.

Umtiti, mwenye umri wa miaka  22, aliungana na mabingwa wa La Liga Juni 30 mwaka huu akitokea kwenye klabu ya Lyon kwa ada ya pauni milioni 25.

Mfaransa huyo ameanza vizuri msimu huu Hispania na anaamini kuwa moja ya watu waliochangia mafanikio hayo ni washambuliaji  hao nyota wa timu yake.

“Napenda kucheza kama mpinzani dhidi ya Messi, Neymar na Suarez kwenye mazoezi,” alisema Umtiti.

“Ni kitu kizuri nilichokigundua kwenye mechi,” aliongeza beki huyo wa kati huku akimsifia sana Messi kwa kusema kuwa anaifanya timu ya taifa ya Argentina kuwa bora zaidi duniani.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya wanamuziki wa Tanzania ambao miongoni...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara  (VPL), utakaochezwa leo...

Mugalu atema cheche Simba

NA ASHA KIGUNDULA MSHAMBULIAJI wa Simba, Chris Mugalu, amesema wanakwenda mkoani Rukwa kupambana na kupata ushindi katika mchezo wao...

Malale aitisha Yanga

NA ZAINAB IDDY KOCHA Mkuu wa timu ya Polisi Tanzania, Malale Hamsini, amezisikia sifa za kocha mpya wa Yanga,...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -