Friday, December 4, 2020

Urais wampukutisha Kanye bil. 6/-

Must Read

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

LOS ANGELES, Marekani

MBIO za urais kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Novemba 3, mwaka huu, zimesababisha rapa Kanye West atumie tena Dola za Marekani milioni 3 (zaidi ya Sh bil. 6 za Tanzania).

Ni kwa maana hiyo basi, Kanye ameshatumia jumla ya Dola milioni 9.76 ukipigia hesabu fedha zote alizomwaga kwenye kampeni tangu alipotangaza nia ya kushindana na rais kupimana ubavu muhula wake wa pili, Donald Trump.

Inafahamika kuwa sehemu kubwa ya fedha hizo zimetoka katika miradi yake kwani Tume ya Uchaguzi ya Marekani ilimpatia Dola 2,782 tu kwa ajili ya shughuli za kuisaka Ikulu, ikiwamo kufanya kampeni.

Kanye, ambaye wengi walimfahamu kuwa ni swahiba wa Trump, ameshapata uungwaji mkono katika majimbo 12 na ameendelea kuomba wananchi wa maeneo mengine wampitishe kuwania kiti hicho cha urais.

Mmoja kati ya wanaomkubali msanii huyo, alitumia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter kuandika: “Ninapoangalia mtu atakayejali watu na familia zao na kutengeneza ajira, naona nikimpigia kura Kanye West.”

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul 'Ben Pol' ameshukuru mashabiki kwa...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -