Thursday, October 29, 2020

UZINDUZI FILAMU ‘NIPE CHAGU’ YA DUMA WAFANA

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

NA JEREMIA ERNEST


 

NAIBU waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Juliana Shonza juzi aliongoza mastaa mbalimbali na mamia ya mashabiki kushuhudia uzinduzi wa filamu mpya ya ya msanii Daud Michael ‘Duma’ inayoitwa Nipe Changu uliofanyika kwa mafanikio makubwa,  Mlimani City, Dar es Salaam.

Akizungumza na Papaso la Burudani, baada ya uzinduzi huo, Duma alisema hakutarajia uzinduzi huo utahudhuliwa na mashabiki wengi ambao asilimia 90 walinunua tiketi hivyo kukamilisha malengo aliyojiwekea msanii huyo.

“Nina furaha kwa ushirikiano nilioupata kwa Serikali, wadau wa sanaa, wasanii na mashabiki zangu waliojitokeza hivi, nashukuru uzinduzi uekwenda vizuri, umefana na nimetimiza malengo yangu,” alisema Duma.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -