Thursday, December 3, 2020

VERRATTI ATAMANI UBINGWA WA UEFA

Must Read

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

PARIS,Ujerumani

KIUNGO wa  timu ya Paris Saint Germains, Marco Verratti, amesema kuwa ndoto zake ni kuendelea kuitumikia klabu hiyo na pia kuhakikisha anaipa ubingwa wa michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Hatima ya Verratti katika klabu hiyo ya jijini  Paris inaendelea kupamba vyombo vya habari kutokana na kuwa taarifa zinazomhusisha kutamaniwa na vigogo wa ligi ya  Serie A, Juventus  na  Inter na timu nyinginezo kubwa Ulaya.

Hata hivyo, staa huyo mwenye umri wa miaka  24 ambaye alisaini mkataba wa miaka mitano Agosti, mwaka jana, amekuwa akizikana tetesi hizo zinazodai kuwa anataka kuitema  PSG  na huku akisema kuwa kilichopo akilini  mwake ni mechi ya kesho ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Barcelona hatua ya 16 bora.

“Nataka kubaki ,” Verratti  aliuambia mtandao  wa  Stade 2, wakati akijiandaa na mechi hiyo ambayo PSG  wako mbele kwa Barcelona kwa mabao  4-0 waliyoyapata katika mechi yao kwanza iliyopigwa jijini  Paris.

“Nipo katika moja ya mradi mkubwa na hakuna timu nyingi Ulaya zinazoufikia. Ndoto zangu ni kutwaa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa nikiwa na PSG,” aliongeza.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul 'Ben Pol' ameshukuru mashabiki kwa...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -