Saturday, November 28, 2020

VERTONGHEN AOTA UBINGWA EPL

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

LONDON, England

STAA wa Tottenham, Jan Vertonghen bado anawazi ubingwa wa michuano ya Ligi Kuu England, baada ya kusema kuwa bado wataendelea kuifukuzia  Chelsea  licha ya kuwa nyuma kwa pointi 10 na huku zikiwa zimebaki mechi 10 ili ligi imalizike.

Mwishoni mwa wiki iliyopita  Chelsea ilishinda kwa mabao  2-1  dhidi ya  Stoke City na siku moja baadae  Spurs wakaibuka na ushindi kama huo dhidi ya  Southampton  kwa mabao yaliyowekwa kimiani na nyota wao, Christian Eriksen  na  Dele Alli.

Ushindi huo uliihakikishia  Tottenham kuendelea kushika nafasi ya pili wakiwa  washindani wa karibu wa Chelsea,baada ya  Manchester City  na  Liverpool nazo kushindwa kutambiana na hivyo kumfanya Vertonghen kujipa matumaini kuwa bado wataendelea kupambana hadi mwisho wa vita hiyo.

“Kwa ujumla Chelsea ndio kwa sasa wanapewa nafasi  ya kutwaa ubingwa ,” staa huyo aliiambia  Sky Sports. “Lakini hatutaki kukata tama hadi hapo watakapotwaa ubingwa.

“Nafikiri tunafanya vizuri. Ila tunachotakiwa ni kuendelea kupigania nafasi hiyo ya ujuu kadri iwezekanavyo kutokana na kwamba kwa sasa tupo katika nafasi ya pili inatufanya tupiganie ya kwanza,”aliongeza nyota huyo.

Alisema kuwa ili wafanikiwe kutimiza hazima hiyo ni lazima waendelee kushinda mechi zao  na kasema kwamba  kutokana na timu nyingine zilizopo sita bora  kuwa zinapoteza pointi na huku zikicheza zenyewe kwa zenyewe wana uhakikia wa kupunguza pengo hilo la pointi.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -