Friday, December 4, 2020

VIJANA QUEEN YAIFANYIA MAUAJI OILERS

Must Read

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

NA GLORY MLAY

TIMU ya kikapu ya Vijana Queen imefanya mauaji baada ya kuibuka na ushindi wa pointi 138-52 dhidi ya Oilers Princesses katika mchezo wa Ligi ya Mkoa wa Dar es Salaam (RBA), uliochezwa juzi kwenye Uwanja wa Ndani wa Taifa, jijini.

Katika robo ya kwanza Vijana Queen iliongoza kwa pointi 29-18, robo ya pili kwa pointi 28-12, wakati robo ya tatu iliendelea kuongoza kwa pointi 27-12.

Hata hivyo, Vijana Queen iliongoza robo ya nne kwa pointi 34-10, wakati timu ya wanaume ya Jogoo iliibuka na ushindi wa pointi 92-72 dhidi ya Vijana.

Katika robo ya kwanza Jogoo iliongoza kwa pointi 19-18 na robo ya pili kwa pointi 25-18, kisha ya tatu 26-20 na robo ya nne kwa pointi 22-16.

Magneti iliibuka na ushindi wa pointi  74-70 dhidi ya Youngstars, robo ya kwanza iliongoza kwa pointi 19-17, robo ya pili Youngstars ilishinda kwa pointi 28-18, ambapo robo ya tatu Magneti iliongoza kwa pointi 21-20 na robo ya nne iliibuka na pointi16-15.

Wakati huo huo, timu ya Savio iliibuka na ushindi baada ya kuichapa Mabibo Bullet kwa pointi 120-57.

Katika robo ya kwanza Savio iliongoza kwa pointi 25-10 robo ya pili ilishinda kwa pointi 125-12, ambapo robo ya tatu iliongoza kwa pointi 37-16 na robo ya nne iliibuka na pointi 23-19.

Oilers iliibuka na ushindi baada ya kuichapa Ukonga Kings kwa pointi 75-58, ambapo robo ya kwanza iliongoza kwa pointi 19-11 kabla ya kuongoza robo ya pili kwa pointi 19-12, robo ya tatu kwa pointi 21-16 na robo ya nne Ukonga Kings ilishinda kwa pointi 19-16.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul 'Ben Pol' ameshukuru mashabiki kwa...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -