Tuesday, October 27, 2020

‘VIROBA’ VYAMPONZA FIRMINO

Must Read

Boni Mwaitege amkalisha Mgogo

NA VALERY KIYUNGU KUPITIA shindano la Nani Zaidi linaloendeshwa na redio Passion Fm ya...

Mzuka warudi tena kwa s2kizzy

NA CHRISTOPHER MSEKENA SIKU chache baada ya kuvamiwa na kufanyiwa uharibifu wa studio zake...

The Yeamen waipiga ‘Shoti’

NA JEREMIA ERNEST MSANII kutoka kundi la The Yeamen, Suma Toto, amewaomba mashabiki wa...

MERSEYSIDE, England


UNYWAJI wa pombe wa mshambuliaji wa Liverpool, Roberto Firmino, umemponza baada ya kufungiwa kuendesha gari kwa mwaka mmoja na kutozwa faidi ya pauni 20,000, baada ya kukutwa na hatia ya kuendesha akiwa ‘amepiga viroba’.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 alikamatwa na polisi mwaka jana wakati wa Sikukuu za Krismasi kwa kukutwa akiwa amevuka kiwango cha pombe na kuendesha upande usio wake katikati ya Mji wa Liverpool.

Firmino ambaye alikutwa na hatia ya kuendesha akiwa amekunywa, alikataa kuendesha gari upande ambao sio wake na jaji kumuondolewa kipengele hicho.

“Naomba msamaha kwa klabu, kocha, wachezaji wenzangu na mashabiki. Naahidi kwa kila mmoja katika familia ya Liverpool nitajifunza kutokana na makosa,” alisema mchezaji huyo.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Boni Mwaitege amkalisha Mgogo

NA VALERY KIYUNGU KUPITIA shindano la Nani Zaidi linaloendeshwa na redio Passion Fm ya...

Mzuka warudi tena kwa s2kizzy

NA CHRISTOPHER MSEKENA SIKU chache baada ya kuvamiwa na kufanyiwa uharibifu wa studio zake za Pluto Republic, prodyuza nyota...

The Yeamen waipiga ‘Shoti’

NA JEREMIA ERNEST MSANII kutoka kundi la The Yeamen, Suma Toto, amewaomba mashabiki wa Bongo Fleva kuendelea kulipa sapoti...

JB Maeba atimiza ndoto zake na Cannibal

NA CHRISTOPHER MSEKENA MSANII wa Afro Pop na Bongo Fleva anayeishi Kenya, James Tesha a.k.a JB Maeba, amesema anafurahi...

‘Certified Lover Boy’ ya Drake yaiva

TORONTO, CANADA RAPA nyota ulimwenguni, Aubrey Graham maarufu kama Drake, ametangaza habari njema ya ujio wa albamu yake ya...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -