Saturday, November 28, 2020

WAAMUZI WA ‘VIDEO’ KUTUMIKA MSIMU UJAO

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

LONDON, England

CHAMA cha Soka cha England (FA), kimesema teknolojia ya kuamua matukio uwanjani kwa kutumia ‘video’ itaanza kujaribiwa kwenye michuano ya Kombe la FA Januari 2018, lakini pia huenda ikajaribiwa kwenye raundi ya kwanza ya Kombe la EFL.

Kwa sasa teknolojia hiyo yenye mwamuzi maalumu inaendelea kujaribiwa duniani kote, ambapo Rais wa Fifa, Gianni Infantino, amedhamiria kuifikisha teknolojia kwenye michuano ya Kombe la Dunia 2018 kule Urusi.

Teknolojia hiyo itatumika tu kwenye matukio muhimu yanayohusu mabao, kadi nyekundu na penalti.

“Bodi inafikiria kuruhusu teknolojia hiyo itumike michuano ya EFL,” alisema Mkurugenzi Mkuu wa EFL, Shaun Harvey.

Teknolojia hiyo ilitumika kusahihisha maamuzi mawili yaliyokuwa si sahihi katika mtanange wa kirafiki uliozikutanisha timu za Hispania na Ufaransa mapema wiki hii.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -