Friday, October 23, 2020

WACHEZA TENISI WAONYWA BAADA YA SHARAPOVA KUPUNGUZIWA ADHABU

Must Read

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian...

LONDON, England

SHIRIKISHO la mchezo wa tenisi duniani (ITF), limewapasha wachezaji wa mchezo huo kwa kuwaambia kwamba hawatakuwa na nafasi ya kukata rufaa kama watakutwa na hatia ya kutumia dawa zilizopigwa marufuku michezoni.

Shirikisho hilo lilitoa taarifa hiyo mara baada ya kuipunguza adhabu ya bingwa wa zamani wa tenisi, Maria Sharapova, kutoka miaka miwili hadi miezi 15.

Akisaidiwa na mahakama ya usuluhishi michezoni (Cas), iliyomtetea kwamba mwanadada huyo hakuambiwa kama dawa za ‘meldonium’ zilishakatazwa, ambapo vipimo vilimkuta na kiwango cha dawa hiyo mwilini mwake ikiwa ni takribani mwezi mmoja tangu zipigwe marufuku.

“Hatua zote zilichukuliwa wakati wa kutangaza mabadiliko yake.
Taarifa hiyo iliendelea kusema kuwa itahakikisha inapitia tena mabadiliko hayo kama yamewafikia wacheza tenisi wote ili kuepukana na suala la kudai hawakupatiwa taarifa.

Sharapova anatarajiwa kurudi dimbani Aprili 26 mwakani.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya kuwa na umri wa miaka...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian Mbappe na Neymar, kwenye mechi...

IBRA:Kifaa kipya Konde Gang aliyetembea kwa mguu kumwinda Harmonize

NA BRIGHITER MASAKI UKITAJA vijana wanaofanya vizuri katika mziki wa bongo fleva, huwezi kukosa kumtaja msanii chipukizi anayefahamika zaidi...

Jay-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas

-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas New York, Marekani HAKUNA shabiki wa Hip hop asiyelifahamu...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -