Friday, December 4, 2020

WACHEZAJI YANGA KUANDIKA HISTORIA AFRIKA

Must Read

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

NA HUSSEIN OMAR

BAADA ya ushindi mnono wa mabao 5-1 dhidi ya Ngaya de Mbe ya Comoro, wachezaji wa Yanga wameapa kuandika historia katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika mwaka huu.

Yanga iliibuka na ushindi huo dhidi ya Ngaya juzi katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Stade de Bomel mjini Moroni.

Kiungo wa kimataifa wa Yanga, Thaban Kamusoko, aliliambia BINGWA ushindi walioupata kwenye mchezo huo umewapa morali ya kufanya vizuri zaidi katika mchezo unaokuja na kusonga mbele kwa ahatua inayofuata.

“Namshukuru Mungu nimetoa pasi ya bao katika ushindi wa mabao matano tulioupata. Ni mwanzo mzuri, tunamuomba Mungu azidi kutupa afya njema,” alisema Kamusoko.

Nahodha Nadir Haroub ‘Cannavaro’, alisema umoja wao ndio silaha kubwa itakayowawezesha kufanya vizuri zaidi katika michuano hiyo.

“Tumejipanga kufanya vizuri, kusema kweli na huu ndio mwaka wa sisi kuweka historia baada ya kushindwa kufanya hivyo mwaka jana,” alisema Cannavaro.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul 'Ben Pol' ameshukuru mashabiki kwa...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -