Saturday, November 28, 2020

Wakala: Nani kasema Gotze alichemsha Bayern?

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

MUNICH, Ujerumani

WAKALA wa staa, Mario Gotze, Roland Eitel, amewakosoa wanaosema kuwa kiungo mshambuliaji huyo hakufeli katika misimu yake mitatu aliyocheza Bayern Munich kabla ya kurejea Borussia Dortmund.

Mwaka 2013, mchezaji huyo wa kimataifa wa Ujerumani alijiunga na Bayern akitokea Dortmund, lakini hakuonekana akiwa kwenye ubora wake na ndipo alipoamua kujiunga na klabu yake hiyo ya zamani ya Dortmund.

Hata hivyo, wakala Eitel amesisitiza kuwa kurejea kwa Gotze Dortmund haina maana kwamba alishindwa kuonyesha kiwango chake kwa mabingwa hao wa Ulaya.

“Kwanini tunaongea kuhusu kufeli kwa Gotze akiwa na Bayern? Ana umri wa miaka 24 na ametwaa ubingwa wa Bundesliga mara tano, ameichezea Bayern mechi 118 na aliwasaidia Ujerumani kuchukua Kombe la Dunia. Ukisema amefeli una maana gani?

“Huko ni kumvunjia heshima, anachohitaji kwa sasa ni mazoezi ya kutosha.”

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -