Monday, October 26, 2020

Walcott: Vita ya namba inaibeba Arsenal

Must Read

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian...

LONDON, England

Theo Walcott anaamini kugombania namba ndiyo sababu kubwa inayowafanya Arsenal  kung’ara Ligi Kuu England, ambapo kwa kikosi hicho cha Arsene Wenger kina pointi sawa na vinara wa ligi hiyo, Manchester City.

Arsenal ilikuwa kwenye wakati mgumu katika mchezo wao wa mwishoni mwa wiki dhidi ya Swansea City, walioshinda mabao 3-2, baada ya kiungo Granit Xhaka kutolewa kwa kadi nyekundu  kipindi cha pili.

Lakini Arsenal walipambana na kuulinda ushindi huo, ambao mabao mawili yalifungwa na Walcott, huku Mesut Ozil, aliyekuwa akisherehekea siku yake ya kuzaliwa, akifunga moja.

“Ni mafanikio makubwa kwetu, baada ya kuanza vibaya msimu huu wa Ligi Kuu England,” alisema Walcott.

“Msimu huu kuna mambo tumeongeza na ndiyo maana tumeanza kuwa na mafanikio, tumefanya kazi timu nzima kufika tulipofika sasa.”

“Kwa sasa timu yetu ina ushindani mkubwa wa namba, hili ndilo linatufanya tucheze kwenye kiwango cha juu.”

Mechi inayofuata Arsenal watakutana na Ludogorets katika Ligi ya Mabingwa Ulaya, ambapo watakuwa nyumbani, kabla ya kuikaribisha Middlesbrough kwenye mchezo wa Ligi Kuu England.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya kuwa na umri wa miaka...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian Mbappe na Neymar, kwenye mechi...

IBRA:Kifaa kipya Konde Gang aliyetembea kwa mguu kumwinda Harmonize

NA BRIGHITER MASAKI UKITAJA vijana wanaofanya vizuri katika mziki wa bongo fleva, huwezi kukosa kumtaja msanii chipukizi anayefahamika zaidi...

Jay-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas

-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas New York, Marekani HAKUNA shabiki wa Hip hop asiyelifahamu...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -