Tuesday, October 27, 2020

WANYAMA AITWA KUIVAA ETHIOPIA

Must Read

Boni Mwaitege amkalisha Mgogo

NA VALERY KIYUNGU KUPITIA shindano la Nani Zaidi linaloendeshwa na redio Passion Fm ya...

Mzuka warudi tena kwa s2kizzy

NA CHRISTOPHER MSEKENA SIKU chache baada ya kuvamiwa na kufanyiwa uharibifu wa studio zake...

The Yeamen waipiga ‘Shoti’

NA JEREMIA ERNEST MSANII kutoka kundi la The Yeamen, Suma Toto, amewaomba mashabiki wa...

NAIROBI, Kenya

KOCHA wa timu ya taifa ya Kenya ‘Harambee Stars’, Sebastien Migne, amemjumuisha kikosini kiungo wake anayekipiga Tottenham, Victor Wanyama.

Harambee Stars inajiwinda na mchezo wake wa kuifukuzia safari ya Afcon 2019 dhidi ya Ethiopia, ambao utachezwa mwezi ujao.

Mapema mwezi huu, Wanyama ambaye anahaha kurejesha namba yake Tottenham baada ya kukaa nje kwa muda mrefu akiuguza majeraha ya goti, alikuwa kikosini wakati Kenya ikiichapa Ghana bao 1-0.

“Nafikiri safari hii Wanyama atakuwa fiti kwa mechi mbili zijazo,” alisema Migne mjini Nairobi juzi.

Mchezo wa Oktoba 10 utachezwa mjini Bahir Dar na siku nne baadaye Wahabeshi watakuwa Nairobi kwa mtanange wa marudiano.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Boni Mwaitege amkalisha Mgogo

NA VALERY KIYUNGU KUPITIA shindano la Nani Zaidi linaloendeshwa na redio Passion Fm ya...

Mzuka warudi tena kwa s2kizzy

NA CHRISTOPHER MSEKENA SIKU chache baada ya kuvamiwa na kufanyiwa uharibifu wa studio zake za Pluto Republic, prodyuza nyota...

The Yeamen waipiga ‘Shoti’

NA JEREMIA ERNEST MSANII kutoka kundi la The Yeamen, Suma Toto, amewaomba mashabiki wa Bongo Fleva kuendelea kulipa sapoti...

JB Maeba atimiza ndoto zake na Cannibal

NA CHRISTOPHER MSEKENA MSANII wa Afro Pop na Bongo Fleva anayeishi Kenya, James Tesha a.k.a JB Maeba, amesema anafurahi...

‘Certified Lover Boy’ ya Drake yaiva

TORONTO, CANADA RAPA nyota ulimwenguni, Aubrey Graham maarufu kama Drake, ametangaza habari njema ya ujio wa albamu yake ya...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -