Thursday, December 3, 2020

WAOGELEAJI TANZANIA WAMCHANGANYA KOCHA MWINGEREZA

Must Read

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

NA MWANDISHI WETU

KOCHA maarufu wa mchezo wa kuogelea kutoka nchini  Uingereza, Sue Purchase, amevutiwa na vipaji vilivyoonyeshwa na waogeleaji chipukizi, huku akitoa wito kwa wadau kushirikiana na Chama cha Kuogelea (TSA) kuondoa changamoto mbalimbali.

Purchase alisema hayo wakati wa mashindano ya Klabu Bingwa ya Tanzania  yanayoendelea kwenye bwawa la Shule ya Hopac.

Alisema kuna waogeleaji wengi wa Tanzania ambao wanaweza kufanya vyema katika mashindano ya kimataifa, lakini tatizo kubwa ni vifaa, hasa bwawa la kuogelea la viwango vya kimataifa ambalo hapa nchini hakuna.

“Kwa kweli nimefarijika sana, nimeona waogeleaji wengi wenye vipaji ambao kama wataendelezwa, itasaidia nchi kufanya vyema katika mashindano ya kimataifa, hasa Jumuiya ya Madola, Dunia na Olimpiki ya 2020 mjini Tokyo, Japan.

“Kinachotakiwa sasa ni kubadili mfumo wa mazoezi kwa kutumia vifaa vilivyopo, waogeleaji wengi  wanaonekana kuchoka kwa muda mfupi kutokana na kukosa muda wa kutosha wa mazoezi, ili kufikia viwango, wanahitaji kuongeza muda wa kufanya mazoezi,” alisema Purchase.

Mwenyekiti wa Kamati ya Ufundi ya TSA, Amina Mfaume, amekiri kuwa tatizo kubwa ni muda wa mazoezi na kusema hiyo inatokana na kubanwa kwa waogeleaji na shughuli za masomo.

 

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul 'Ben Pol' ameshukuru mashabiki kwa...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -