Sunday, November 29, 2020

WAPENDA BATA TUKUTANE HAPA…..!

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA BEATRICE KAIZA,

BATA la wiki hii si la kukosa, kwani raha ya bata liwe na mwendelezo au siyo wala bata wenzangu, najua mnanisoma vyema, kwa kuwa kila ikifika Ijumaa mpaka Jumapili akili zetu zinawaza wapi tukutane tufanye yetu.

Wadau wa kipande hiki vipi mshapanga viwanja vya kujiachia wikiendi hii? Kama bado twende sawa na BINGWA, liwachoreshe pande ambazo mnaweza kwenda kula bata, yaani Hapa Bata Tu.

HII KWA MAPOPO

Naanza na wale mapopo (wakeshaji) wenzangu wanaojua jinsi ya kuishi katika maisha ya kula bata kwa sana, hapa tunapiga stori na wale wazee wa kulala uzee, haya twende sasa.

Club Element (Masaki)

Ijumaa hadi Jumapili ni disco, muziki mnene na Dj Sinyolita.

Escape One (Mikocheni)

Kama wewe ni mdau wa Karaoke basi dondoka kipande hiki siku ya Ijumaa, maana kutakuwa na Karaoke Night, kisha Jumamosi tunapunga upepo na Skylight Band.

Maisha Basement (Makumbusho)

Ijumaa ni Wiggle Night na Dj Skad, huku siku ya Jumamosi ni Ibiza Night na Dj Ally B.

WAZEE WA BAND & TAARAB

Dar Live (Mbagala)

Jumapili kutakuwa na Manchester Band.

Sikinde Ngoma ya Ukae (Bendi)

Kwa wale vijana wa zamani pia hatujawaacha nyuma wikiendi hii, Sikinde Ngoma ya Ukae kesho Jumamosi watakuwa Mwembeyanga (Temeke).

Jumapili watakuwa DDC Kariakoo (Old Trafford).

Twanga Pepeta

Wazee wa kutwanga na kupepeta Jumamosi hii watakuwa kwenye uwanja wao wa nyumbani, Mango Garden na Jumapili watadondoka pale  Toroka uje Kimara.

TABORA JAZZ STARS (SINZA)

Ijumaa ni usiku wa Segere Matata katika ukumbi wa BMM Pub, halafu Jumamosi ni Usiku wa Heshima chini ya Ramadhani Kitenge.

WAKALI WAO (MODERN TAARAB)

Kama nyonga ipo sawa sawa basi Jumapili nakushauri ibuka pale Travertine Hotel, iliyopo Magomeni, Dar es Salaam, kwani Wakali wao watawarusha wale ndugu zetu wa vidole juu.

WAZEE WA BAND

Safari Resort (Kimara)

Ijumaa hadi Jumapili kutakuwa na burudani itakayoporomoshwa na FM Academia.

MOVIES

MLIMANI CITY (SURVEY)

Hapa kutakuwa na movie kali na wajanja wote wa Jiji wanakutana hapa, cha kufanya  kamatia 3D yako ili kuweza kutazama kwa ukaribu.

Kong, Beauty and The Beast, Logan, Karibu Kiumeni.

Hizo ndizo filamu ambazo zitakuwa hewani pande  za Mlimani City.

Imeandaliwa na mimi mla bata, Beatrice Kaiza na wewe kama una kiwanja chako cha burudani na unataka washkaji wajue nini kinatokea inapofika Wikiendi, nicheki kupitia simu yangu 0626 664 991, mambo yote yatakuwa poa.

 

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -