Friday, October 30, 2020

WARUSI WAANZA KUBEBA TUZO TAMASHA LATANGO

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

BUENOS AIRES, Argentina


WASANII kutoka Urusi, Dmitry Vasin na Sagdiana Khamzina, wamekuwa wa kwanza kunyakua tuzo   katika kipengele cha jukwaani katika mashindano ya dunia ya tamasha la Tango yanayoendelea katika mji mkuu wa Argentina, Buenos Aires.

Mbali na jukwaani, wanenguaji hao juzi walijizolea kura nyingi kutoka kwa wasikilizaji ambao walipiga kura zao katika kupitia njia ya tovuti ambalo theluthi  tatu ya mashabiki waliwapigia Warusi hao.

Mbali na hao, Warusi wengine, Dmitry Kuznetsov na Olga Nikolaeva wao walishika nafasi ya tano.

Akizungumza na mwandishi wa Shirika la Habari la Urusi, TASS, Khamzina alisema kwamba ushindi huo umekuja kimaajabu mpaka sasa wanaamini kuwa bado wanaota.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -