Friday, November 27, 2020

WATAPEWA UBINGWA BILA KUCHEZA FAINALI?

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

BOGOTA, Colombia

IKUMBUKWE kuwa wakati ndege ya wachezaji wa Chapecoense ilipopata ajali, ilikuwa safarini kuelekea Colombioa kuwavaa Atletico Nacional katika mchezo wa kwanza wa fainali ya Copa Sudamericana.

Baada ya ajali hiyo, viongozi wa Atletico Nacional wameonesha utu wao kwa kuomba Chapecoense wakabidhiwe kombe la michuano hiyo.

Chapecoense walifikia hatua hiyo baada ya kuwachapa Cerro Porteno katika mchezo wa hatua ya nusu fainali.

Taarifa zimedai kuwa Shirikisho la Soka la Amerika Kusini limepokea ombi hilo la Atletico Nacional.

Imeelezwa kuwa Atletico Nacional ya Colombia inataka kuona Wabrazil hao wakipewa taji hilo na sasa wanajiandaa kutuma barua yao kwa Shirikisho hilo.

Hata hivyo, bado Shirikisho hilo halijatoa uamuzi wake kufuatia ombi la Atletico Nacional, lakini kuna uwezekano mkubwa wa jambo hilo kutokea yaani Chapecoense kukabidhiwa kombe bila kucheza fainali.

“Taarifa za sasa ni kwamba Atletico nacional watatuma ombi kwa shirikisho ili Chapecoense watangazwe kuwa mabingwa.

“Ni kama kilichotokea mwaka 1949, ambapo timu ya Torino ilipata ajali ya ndege nchini Italia na kuua watu 31,” alisema mwandishi wa habari wa Kituo cha Redio cha Grenal FM, Mr Suram.

“Siku hiyo hiyo, timu nyingine za ligi zilikwenda uwanja wa ndege na kukabidhi ubingwa.

“Wakurugenzi na wachezaji wa Atletico Nacional wameonesha utu. Chapecoense watatangazwa kuwa mabingwa, kama si kesho usiku (leo), basi siku chache zijazo.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -