Tuesday, October 27, 2020

WAYNE ROONEY NAYE KIKAANGONI UKWEPAJI KODI

Must Read

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo,...

Katwila: Sitaidharau Mbeya City

NA VICTORIA GODFREY KOCHA wa timu ya Ihefu, Zuberi Katwila, amesema hawaraidharau  Mbeya City...

MANCHESTER, England

MSHAMBULIAJI wa klabu ya Manchester United na timu ya Taifa ya England, Wayne Rooney pamoja na timu yake wameorodheshwa katika orodha ya kushtakiwa kwa kosa la ukwepaji kulipa kodi.

Kusudio hilo lilitolewa mwishoni mwa wiki katika Bunge la Uingereza na Mbunge wa Chama kisichotaka mabadiliko ‘Conservative’, Charlie Elphicke, ambapo alisema kuwa klabu ya Manchester United na Rooney wamejumuishwa katika uchunguzi wa ukwepaji kulipa kodi.

“Zaidi ya wachezaji 43 na klabu 12 hivi sasa Taasisi inayoshughulikia ukusanyaji kodi ya England (HMRC), ipo katika kuchunguza wachezaji hao na klabu hiyo katika suala hili la ukwepaji kulipa kodi.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...

Katwila: Sitaidharau Mbeya City

NA VICTORIA GODFREY KOCHA wa timu ya Ihefu, Zuberi Katwila, amesema hawaraidharau  Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu...

Kocha apokea kipigo kwa shingo upande

 NA  VICTORIA GODFREY KOCHA wa timu ya Mwadui, Khalid Adam, amesema amesikitishwa na kipigo cha mabao 6-1 kutoka kwa...

KMC kumaliza hasira kwa Gwambina

NA WINFRIDA MTOI BAADA ya kuchezea kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Yanga, kocha msaidizi wa timu ya Manispaa...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -