Sunday, November 29, 2020

Wazee wa Yanga Sc wapinga kukodishwa kwa klabu yao

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

KATIBU mkuu wa Baraza la Wazee wa klabu ya Yanga, Ibrahim Akilimali pamoja na wenzake, wamepinga suala la klabu yao kuingia makubaliano na Kampuni ya Yanga yetu kwa ajili ya kukodisha klabu hiyo kwa miaka 10.

Wakizungumza na waandishi wa Habari jana kwenye Ukumbi wa Habari Maelezo, Akilimali alisema, mkataba huyo uliosainiwa na lilalotajwa kuwa ni baraza la wadhamini ni batili na wala hawaitambui kwani kwa kufanya hivyo wanaweza kusababisha kuigawa timu hiyo kwenye makundi jambo ambalo hawakubaliani nalo.

“Huko nyuma kuliwahi kutokea mgogoro mkubwa kwenye klabu yetu kutokana na masuala ya Kampuni na kujikuta tukigawanyika kwenye makundi matatu, jambo hilo tulilishughulikia na kuisha hivyo tuliapa kutoruhusu mvuruganio tena kwenye klabu yetu, na hili suala la kukodishwa hatukubaliani nalo kwani YAnga haiwezi kukodisha kama masufulia ya shughulini,” alisema.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -