Tuesday, October 27, 2020

Wenger achimba mkwara mzito

Must Read

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo,...

LONDON, England

KOCHA wa Arsenal, Arsene Wenger, amesema kitendo cha timu yake kuibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Hull City ni ujumbe tosha kwa wapinzani wake.

Kocha huyo amesema matokeo waliyoyapata yanaonesha wazi kuwa timu yake imeiva kupambana kwenye mbio za kufukuzia ubingwa.

“Ni ushindi wenye ujumbe,” alisema alipokuwa akihojiwa na mtandao wa Telegraph.

Mpaka sasa Arsenal wameshinda michezo mitatu ya Ligi Kuu England na imepachika jumla ya mabao 12.

Wikiendi hii Arsenal watakuwa nyumbani Emirates kuvaana na Chelsea katika mtanange mwingine mkali wa ligi.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...

Katwila: Sitaidharau Mbeya City

NA VICTORIA GODFREY KOCHA wa timu ya Ihefu, Zuberi Katwila, amesema hawaraidharau  Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu...

Kocha apokea kipigo kwa shingo upande

 NA  VICTORIA GODFREY KOCHA wa timu ya Mwadui, Khalid Adam, amesema amesikitishwa na kipigo cha mabao 6-1 kutoka kwa...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -