Thursday, October 22, 2020

WENGER AMPATA MRITHI WA THIERY HENRY

Must Read

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu...

LONDON, England


UMEWAHI kulisikia jina la kinda, Kylian Mbappe? Mfaransa anayetesa hivi sasa kwenye kikosi cha AS Monaco kinachofanya vizuri hivi sasa kwenye Ligi Kuu ya Ufaransa (Ligue 1).

Kinda huyo amejizolea sifa kutoka kwa kocha wa Arsenal, Arsene Wenger, ambaye anahusishwa kumhitaji straika huyo na sifa kubwa aliyompa ni kusema kuwa huenda akawa ni Thierry Henry mpya kwenye ulimwengu huu wa soka.

Katika kipindi cha miezi 18 tangu acheze mchezo wake wa kwanza wa ligi kuu akiwa na umri wa miaka 16, Mbappe amepata umaarufu mkubwa ikiwemo rekodi ya Henry ya kufunga bao katika umri wa miaka 17 ambayo tayari ameivunja.

“Hajafikia ‘levo’ ya Henry lakini ana kipaji na ubora unaofanana naye,” alisema Wenger.

“Wachezaji wenye kipaji kikubwa kwa sasa tayari walishapita umri wa miaka 18. Lakini yeye tayari amefikia umri huo na kipaji chake ni kikubwa zaidi.

“Kasi, ukokotaji wake wa mpira, pasi zake na nguvu ni kama Henry. Tunamfuatilia, tunamtambua vizuri, anafanya kazi nzuri kule. Aliongeza mkataba wake na Monaco hivyo klabu yake ndio itakayoamua hatima yake,” alisema.

 

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya wanamuziki wa Tanzania ambao miongoni...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara  (VPL), utakaochezwa leo...

Mugalu atema cheche Simba

NA ASHA KIGUNDULA MSHAMBULIAJI wa Simba, Chris Mugalu, amesema wanakwenda mkoani Rukwa kupambana na kupata ushindi katika mchezo wao...

Malale aitisha Yanga

NA ZAINAB IDDY KOCHA Mkuu wa timu ya Polisi Tanzania, Malale Hamsini, amezisikia sifa za kocha mpya wa Yanga,...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -