Tuesday, November 24, 2020

WENGER: BELLERIN ANAKWENDA BARCELONA? ACHENI UZUSHI

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

LONDON, England

ARSENE Wenger amekanusha kwa hasira taarifa za kocha wake wa kikosi cha kwanza, Boro Primorac na beki wa kulia, Hector Bellerin kwamba wanaondoka kwenye klabu hiyo.

Barcelona wanadaiwa kumtaka beki wao wa zamani wa kulia, ikidaiwa kwamba, wametoa ofa kwa ajili ya kumsajili mwisho wa msimu na Primorac akidaia anaondoka Emirates, lakini Wenger amekanusha taarifa zote na kuongeza kwamba ni habari za uzushi.

Alisema: “Hiyo wametengeneza kabisa, si kweli. Ni habari ya uzushi.”

Bellerin, mwenye umri wa miaka 21, ni mchezaji namba moja anayefukuziwa na Catalans, kama mbadala wa kudumu wa beki Dani Alves.

Lakini Wenger alikanusha habari hizo, akisema: “Hapana. Ameongeza mkataba tena wa miaka ya kushangaza. Ni ngumu kuamini mambo kama hayo.”

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -