Friday, October 30, 2020

WENGER: PEREZ ANANUKIA MABAO

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

LONDON, England

KOCHA Arsene Wenger amemsifia nyota wake Lucas Perez akisema ana anaunukia mabao, baada ya kupiga ‘hat-trick’ dhidi ya Basel kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya na Arsenal kumaliza kileleni mwa msimamo Wa Kundi A.

Perez alipiga ‘hat-trick’ hiyo na Alex Iwobi kufunga moja, wakati Gunners wakiibuka na ushindi wa mabao 4-1, huku Seydou Doumbia akifunga bao la kufutia machozi.

“Nafikiri ametumia vizuri nafasi tulizotengeneza. Ni mfungaji mzuri. Alifunga mabao zaidi ya 20 nchini Hispania hivyo hilo sio jambo la kushangaza,” alisema Wenger.

“Hivyo imeonyesha ana harufu nzuri ya mabao kwenye eneo la hatari. Mabao mawili ya kwanza yanaonekana kuwa rahisi, kutokana na yalivyotengenezwa na timu na yeye akatupia tu.

“Lakini anakuwepo eneo husika. Unapaswa uwepo eneo la tukio. Bao la tatu lilikuwa bao la kweli la mshambuliaji.”

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -