Tuesday, October 20, 2020

WENGER: NINA OZIL NA SANCHEZ, PAYET WA NINI?

Must Read

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu...

LONDON, England


KOCHA wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger, amesema hana mpango wa kumsajili staa wa West Ham, Dimitri Payet na kiujumla hatafanya usajili wowote katika dirisha hili dogo la Januari.

Payet amegoma kuendelea kukipiga West Ham akitaka kurudi kwenye timu yake ya zamani ya Marseille  baada ya kuipiga chini ofa nono ya mshahara wa pauni 500,000 kwa wiki kutoka China.

Wenger alikiri kuwa ni shabiki wa Payet, lakini alisisitiza kuwa hana haja ya kumnunua kiungo mshambuliaji mwingine wakati akiwa na wachezaji kama Mesut Ozil, Alexis Sanchez na Alex Oxlade-Chamberlain.

“Simuhitaji Payet kwa sababu ninao wachezaji wengi wabunifu,” alisema Wenger mapema wiki hii.

“Ninaheshimu uwezo wa Payet. Tunao wachezaji wengi wa kushambulia ambao wanaweza kucheza kwenye eneo kama lake. Na hatutosajili kwani wapo wachezaji ambao wanarudi kwa sasa na watatusaidia,” alisema.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya wanamuziki wa Tanzania ambao miongoni...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara  (VPL), utakaochezwa leo...

Mugalu atema cheche Simba

NA ASHA KIGUNDULA MSHAMBULIAJI wa Simba, Chris Mugalu, amesema wanakwenda mkoani Rukwa kupambana na kupata ushindi katika mchezo wao...

Malale aitisha Yanga

NA ZAINAB IDDY KOCHA Mkuu wa timu ya Polisi Tanzania, Malale Hamsini, amezisikia sifa za kocha mpya wa Yanga,...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -