Thursday, October 29, 2020

WIJNALDUM: WAPINZANI WANATETEMEKA WAKIJA ANFIELD

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

MERSEYSIDE, Liverpool


BAADA ya kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp, kudai kuwa kocha wa Manchester City, Pep Guardiola, alihudhuria mchezo wao dhidi ya Stoke City ili kushuhudia burudani ya soka, kiungo wake, Georginio Wijnaldum, naye ameibuka na kusema wapinzani wao hao wanapaswa kutishika na moto wao pale watakapokabiliana wikiendi hii.

Guardiola alionekana kwenye dimba la Anfield wiki hii wakati Liverpool ikiinyoosha Stoke kwa mabao 4-1, akiwafuatilia wapinzani wake hao atakaokutana nao kesho katika mtanange wa Ligi Kuu England utakaopigwa kwenye dimba hilo.

Mabao ya Liverpool yalitiwa kimiani na Adam Lallana aliyesawazisha bao la Jonathan Walters, kabla ya Roberto Firmino, Giani Imbula aliyejifunga na Daniel Sturridge kupachika bao la nne.

Kutokana na matokeo hayo yaliyowafanya Liverpool kuendeleza ubabe wao wakiwa dimba la nyumbani, Wijnaldum alisema: “Najua wapinzani watatuogopa tu kwa jinsi tunavyopiga soka safi na kufunga mabao.”

“Tuna wachezaji wenye uwezo mzuri wa kufunga mabao na ni jambo zuri kwa sababu kama tungekuwa tunategemea mtu mmoja tusingeweza kushinda mechi zetu,” alisema.

‘Hata wao wana safu nzuri ya ushambuliaji lakini sisi ni wazuri zaidi,” aliongeza.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -