Saturday, October 31, 2020

Woods athibitisha kurejea mzigoni

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

California, Marekani

NYOTA wa gofu, Tiger Woods, amethibitisha kurejea uwanjani kwenye michuano ya Safeway Open, itakayofanyika mjini California, Marekani, kuanzia wiki ijayo.

Tiger, mwenye umri wa miaka 40, alikusudia kushiriki kwenye michuano ya Silverado mjini Napa, baada ya kukaa nje tangu Agosti, mwaka jana.

Woods amekuwa akisumbuliwa na majeraha ya mgongo kwa miaka kadhaa, hivyo amefanyiwa upasuaji mara tatu katika miezi 19 aliyokuwa nje ya uwanja.

Mchezaji huyo namba moja wa zamani katika mchezo wa gofu, pia anatarajia kushiriki michuano ya Turkish Airlines Open, itakayofanyika Novemba, mwaka huu, ambapo michuano hiyo inakamilisha fainali za European Tour, baada ya hapo atashiriki michuano ya Hero World, nchini Bahamas, Desemba, mwaka huu.

 

WASIFU WAKE

Jina: Eldrick Tont Woods

Jina la utani: Tiger

Kuzaliwa: Desemba 30, 1975

Eneo: Cypress, California

Urefu: Futi 6 inchi 1

Uzito: Kilo 84

Taifa: Marekani

Tiger amekuwa na mafanikio makubwa kwenye mchezo huo wa gofu na kwa miaka kadhaa amekuwa mwanamichezo anayelipwa vizuri zaidi duniani.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -