Wednesday, October 28, 2020

YANGA KIBOKO, YAMTUMIA ‘MTOTO’ KUMMALIZA OKWI

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

NA HUSSEIN OMAR


 

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera, ameamua kuwafungia kazi washambuliaji hatari wa Simba, Emmanuel Okwi na Shiza Kichuya, kuhakikisha hawafungi mabao watakapocheza nao Jumapili katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, utakaopigwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Tofauti na matarajio ya wengi, Zahera ameonekana kutopata shida kufikiria mtu wa kumkabidhi jukumu la kuwadhibiti wawili hao, baada ya kubaini ubora wa kijana mdogo kabisa aliyepo kikosini mwake, akiamini ana sifa na kila uwezo wa kukabiliana na Okwi na Kichuya, ambao wamekuwa wasumbufu mno kwa timu yake.

Katika mazoezi ya Yanga yanayoendelea mjini Morogoro, Zahera amemchagua kinda Paul Godfrey ‘kumalizana’ na Okwi na Kichuya, akiamini dogo huyo hatamwangusha hata kidogo.

Katika mkakati wake, Zahera amepanga kudhibiti mashambulizi ya pembeni ya Simba ambayo yamekuwa mtaji wa aina yake kwa Wekundu wa Msimbazi hao, kwani mabao mengi wamekuwa wakifunga kupitia krosi.

Kwa habari zaidi jipatie nakala yako ya gazeti la BINGWA

 

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -