Tuesday, December 1, 2020

YANGA MKIWACHEKEA HAWA MMEKWISHA

Must Read

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

NA MARTIN MAZUGWA,

YANGA wanajua wanacheza na Zanaco ya Zambia katika mchezo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika utakaochezwa keshokutwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, lakini wakiwachekea nyota hawa itakuwa imekula kwao.

Kikosi hicho cha Zanaco kina washambuliaji wakali wakiwamo Fashion Sakala ambaye msimu uliopita alifunga mabao 10 katika ligi kuu ya kwao Zambia.

Mbali na Sakala, kikosi cha Zanaco kina kiungo hatari ambaye ni Rodrick Kabwe aliyefunga mabao 10 kama Sakala katika msimu huo.

Wachezaji wengine ambao wanatakiwa kuchungwa na Yanga ni kiungo mshambuliaji, Saith Sakala, kwani uwezo wake unaonekana ni mkubwa katika kufunga mabao.

Kiungo huyo alimaliza msimu uliopita akiwa na mabao tisa na kuwa tishio kwa wapinzani wao katika Ligi Kuu ya Zambia.

Katika mabao 71 ya Zanaco msimu uliopita, 29 kati ya hayo yalifungwa na nyota hao watatu ambao ni moto wa kuotea mbali.

Kikosi cha Zanaco kinatarajiwa kuwasili jijini Dar es Salaam muda wowote tayari kwa mchezo huo utakaopigwa kwenye dimba la Taifa.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul 'Ben Pol' ameshukuru mashabiki kwa...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -