Wednesday, October 28, 2020

YANGA MSIKIENI MSHAMBULIAJI HUYU WA KAGERA

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

NA ESTHER GEORGE

MSHAMBULIAJI wa Kagera Sugar, Keneth Masumbuko, amesema kwa sasa anajifua vikali ili kuhakikisha anaifunga Yanga na timu yake kuvuna pointi tatu watakapokutana nayo mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara.

Masumbuko alisema anaamini itakuwa vita kubwa watakapokutana katika mechi ya mzunguko wa pili kwavile wao watataka kulipa kisasi cha kunyukwa mabao 6-2 wakiwa nyumbani kwenye Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba.

“Nadhani Yanga wanatakiwa wajiandae vizuri kwani kwasasa tumejipanga hivyo wasitegemee mteremko tena,” alisema Masumbuko.

Masumbuko alisema wanakuja hivyo kama kuna timu inayowachukulia wao ni vibonde ijiandae kwa maumivu.

Kagera Sugar ilimaliza mzunguko wa kwanza ikiwa imecheza jumla ya michezo 15, ikijikusanyia pointi 24, huku Simba ikiwa kileleni kwa pointi 35

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -